Kipa Beno Kakolanya akiwaongoza wachezaji wenzake wa Simba SC kutoka eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kituo cha pili baada ya kuwasili Jijini Dar es Salaam mapema leo wakitokea Mwanza ambako walikuwa wana mechi mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC waliyoshinda 2-1 na Alliance FC waliyoshinda 4-1
Nahodha John Raphael Bocco akiwaongoza wenzake kutoka baada ya kuwasili na chini ni beki Shomari Kapombe

0 comments:
Post a Comment