Beki wa Real Madrid, Nacho akipongezwa na Nahodha, Sergio Ramos (kulia) na kocha Zinedine Zidane (kushoto) baada ya kuifungia bao pekee timu hiyo dakika ya 78 ikiwalaza 1-0 wenyeji, Real Valladolid Uwanja wa Manispaa ya Jose Zorrilla na kupanda kileleni mwa La Liga, sasa wakiwazidi pointi tatu mabingwa watetezi, Barcelona (46-43) baada ya wote kucheza mechi 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Match preview: Manchester United v City
-
Sunday's match provides us with the chance to complete a double over our
city neighbours.
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment