Mshambuliaji wa Simba, Meddi Kagere akimtoka kiungo Clatous Chama kwenye mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar leo kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi kesho dhidi ya Azam FC
Nahodha John Bocco akipiga shuti kwenye mazoezi leo Uwanja wa Amaan
Kiungo Hassan Dilunga akimiliki mpira katikati ya wenzake leo
Kiungo Said Ndemla akiondoka na mpira mazoezini leo
Pundit Predictions: Do you agree with Wes Brown?
-
Champions League winner Wes Brown has made his United Predictions for
Arsenal away, and you can too.
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment