Kiungo mpya wa Simba SC, Luis Jose Miquissone kutoka Msumbiji (wa pili kulia) akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo Jijini Dar es Salaam leo kujiandaa na mchezo dhidi ya watani wao, Yanga SC Uwanja wa Taifa
Luis Jose Miquissone (kushoto) akionyesha uwezo wake mazoezini leo
Luis Jose Miquissone (katikati) akionyesha uwezo wake mazoezini leo
Luis Jose Miquissone akifurahia na wachezaji wenzake mazoezini leo
Luis Jose Miquissone akifurahia na wachezaji wenzake mazoezini leo
Luis Jose Miquissone akifurahia na wachezaji wenzake mazoezini leo

0 comments:
Post a Comment