// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, January 29, 2020

    MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA

    Bao pekee la mshambuliaji Matheo Anthony Simon dakika ya 82 limetosha kuipa ushindi wa 1-0 Polisi Tanzania dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top