Jay Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia Burnley bao la pili dakika ya 56 kufuatia Chris Wood kufunga la kwanza dakika ya 39 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cody Gakpo urges 'special' Mohamed Salah to stay at Liverpool beyond this
season and insists the Reds are 'very lucky to have him' - with talisman's
contract expiring in the summer
-
Once again Salah has been instrumental to their success, and he recently
became the first Premier League player to have double figures in goals and
assists...
48 minutes ago
0 comments:
Post a Comment