Refa Kevin Friend akimuonyesha Nemanja Matic wa Manchester United kadi nyekundu dakika ya 76 baada ya kumuonyesha kadi ya njano ya pili kwa kumchezea rafu Ilkay Gundogan wa Manchester City kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali Kombe la Ligi England jana Uwanja wa Etihad. Manchester United ilishinda 1-0, bao pekee la Matic dakika ya 35, lakini ni Manchester City inayokwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kushinda 3-1 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Old Trafford Januari 7 na itamenyana na Aston Villa Machi 1, Uwanja wa Wembley, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
44 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment