Manahodha John Bocco wa Simba SC (kushoto) na Juma Abdul wa Yanga (kulia) katika mkutano maalum na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani hao wa jadi kuanzia Saa 11:45 jioni ya kesho Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Kocha wa Simba, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck (katikati) akizungumza jambo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari leo. Kulia n kocha wa Yanga Charles Boniface Mkwasa
Sven Ludwig Vandenbroeck (kushoto) akiwa na Nahodha wake, John Bocco, Nahodha wa Yanga, Juma Abdul pamoja na kocha wa mahasimu wake, Charles Boniphace Mkwasa
Beyoncé sparks frenzied social media reaction as she flashes bold gesture
during halftime show in first appearance since Jay-Z rape claim
-
Beyoncé knew the eyes of the world were on her during as she performed at
halftime of the NFL's Christmas doubleheader and brandished a finger-gun
gesture ...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment