Kocha Mkuu mpya wa Yanga SC, Mbelgiji Luc Eymael (kulia) na Kocha wa Mazoezi ya Utimamu wa Mwili (Fitness) Riedoh Berdien kutoka Afrika Kusini wakiwa wameshika mikataba yao pamoja na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk. Mshindo Msolla (wa pili kushoto) baada ya kusaini mikataba ya kuitumikia klabu hiyo kwa mwaka mmoja na nusu kila mmoja
Riedoh Berdien na Luc Eymael wamewahi kufanya naye pamoja katika klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini kwa mafanikio
Riedoh Berdien na Luc Eymael wamewahi kufanya naye pamoja katika klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini kwa mafanikio
0 comments:
Post a Comment