Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Steven Mnguto (kulia), akimkabidhi mmoja wa wahitimu wa Kozi ya ukocha wa wanawake iliyofungwa leo makao makuu ya shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam
Kozi hiyo ambayo ililenga kuongeza wigo wa makocha wa kike nchini, ilihusisha walimu wa shule za msingi kutoka mkoa wa Dar es Salaam na wanataaluma wengine
Kozi hiyo ambayo ililenga kuongeza wigo wa makocha wa kike nchini, ilihusisha walimu wa shule za msingi kutoka mkoa wa Dar es Salaam na wanataaluma wengine
0 comments:
Post a Comment