Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 37 akimalizia pasi ya Mmisri, Mohamed Salah katika ushindi wa ugenini wa 1-0 Liverpool dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amad's new-contract day
-
Don't miss our exclusive behind-the-scenes images from a richly deserved
occasion for the Ivorian.
45 minutes ago
0 comments:
Post a Comment