Nyota wa zamani wa klabu ya Simba, kipa Juma Kaseja (kushoto) na beki Boniface Pawasa (kulia) ni miongoni mwa makocha 30 waliojitokeza kushiriki Kozi ya siku 28 ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) inayoendelea makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Karume, Ilala, Dar es Salaam
Premier League fixtures update
-
The Reds' schedule for May's run-in has now become a little clearer.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment