Kipa Beno Kakolanya akidaka mpira kwa ustadi mkubwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Gombani, Pemba kujiandaa na mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi dhidi ya Zimamoto kesho Saa 10:15 hapo hapo, (Gombani), mchezo ambao utarushwa LIVE na Azam Sports 2
Nyota mpya kutoka Msumbiji, Luis Jose Miquissone akipiga mpira mbele ya kiungo mwenzake, Msudan Sharaf Eldin Shiboub kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Gombani
Kiungo Hassan Dilunga akipiga hesabu za kuwapita wenzake leo kwenye mazoezi ya Simba Uwanja wa Gombani kujiandaa na mchezo dhidi ya Zimamoto kesho
Notre Dame's Fairytale Season Has Done the Impossible; Made the Irish
Likable
-
Ages ago, back in early September, before the impossible was realized and
college football's most polarizing brand morphed into a beloved postseason…
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment