// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BAADA YA KIKAO CHA DHARULA, MO DEWJI 'ATENGUA KAULI' YA KUJIUZULU UENYEKITI WA BODI SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BAADA YA KIKAO CHA DHARULA, MO DEWJI 'ATENGUA KAULI' YA KUJIUZULU UENYEKITI WA BODI SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 14, 2020

    BAADA YA KIKAO CHA DHARULA, MO DEWJI 'ATENGUA KAULI' YA KUJIUZULU UENYEKITI WA BODI SIMBA SC

    Bilionea Mohamed 'Mo' Dewji akiwa kwenye kikao cha dharula na Wajumbe wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' leo Jijini Dar es Salaam, Dewji alitangaza kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi jana baada ya Simba kuchapwa 1-0 na Mtibwa Sugar katika fainali ya Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzbar kupitia ukurasa wake wa Twitter.
    Lakini leo baada ya kikao hicho akaikana Tweet hiyo akisema haelewi kilichotokea kwenye akaunti yake jana na kuwahakikishia wana Simba kwamba bado yuko nao bega kwa bega na sasa anaelekeza nguvu kwenye Ligi Kuu 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAADA YA KIKAO CHA DHARULA, MO DEWJI 'ATENGUA KAULI' YA KUJIUZULU UENYEKITI WA BODI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top