Beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed akijifua leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo wa kesho wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba SC
Kiungo Mudathir Yahya akijifua leo kwenye mazoezi ya Azam FC
Beki Bruce Kangwa akifuatilia jambo kwa makini leo mazoezini
Kocha Mromania, Aristica Cioaba akiwa kazini leo Uwanja wa Amaan
Kipa Razack Abalora akiwa amedaka mpira leo mazoezini
Australian Open - Day One: Live score and game-by-game updates as Aryna
Sabalenka and Alexander Zverev headline a rain soaked first day in Melbourne
-
Follow Mail Sport's live blog for the latest score, and game-by-game
updates as Novak Djokovic, Nick Krygios and Aryna Sabalenka headline Day
One of the Au...
8 minutes ago
0 comments:
Post a Comment