Beki wa Arsenal, Hector Bellerin (kulia) akishangilia na Granit Xhaka baada ya kuifungia timu hiyo bao la kusawazisha zikiwa zimesalia dakika tatu katika sare ya 2-2 na wenyeji, Chelsea usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Bao lingine la Arsenal iliyomaliza pungufu baada ya beki wake wa kati, David Luiz kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kumchezea rafu Tammy Abraham kwenye boksi lilifungwa na Gabriel Martinelli dakika ya 63, wakati ya Chelsea yalifungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 28 na Cesar Azpilicueta dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment