
Friday, January 31, 2020

Refa Anthony Rutta akimuinua mkono bondia Salim Jengo Mtango baada ya kumshinda Suriya Tatakhun wa Thailand kwa Technical Knockout (TKO...
ARSENAL YAMSAJILI KWA MKOPO WA MIEZI SITA BEKI MRENO, SOARES
Friday, January 31, 2020
Arsenal imekamilisha usajili wa beki Mreno, Cedric Soares kwa mkopo wa miezi sita kutoka Southampton, zote za England PICHA ZAIDI GONGA...
MIGUU YA MABEKI WA SIMBA SC INAVYOWAHUKUMU MAKIPA WAO
Friday, January 31, 2020
Na Mustafa Mtupa, DAR ES SALAAM ILIKUWA ni mchana ambao uliambatana na hali ya jua kali lililo mchoma yeyote aliyetembea barabarani kwa mi...
MESSI APIGA MBILI BARCA YAILAZA LEGANES 5-0 KOMBE LA MFALME
Friday, January 31, 2020
Mshambuliaji Leonel Messi akipongezwa na Arturo Vidal baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 59 na 89 katika ushindi wa 5-0 ...
FERNANDES ATUA MAN UNITED KWA MKATABA WA MIAKA MITANO NA NUSU
Friday, January 31, 2020
Kiungo Mreno, Bruno Fernandes (kulia) akisaini mkataba wa miaka mitano na nusu kujiunga na Manchester United kutoka Sporting Lisbon ya kw...
AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA MTIBWA SUGAR TAIFA TIMU ZOTE ZIKIMALIZA PUNGUFU
Friday, January 31, 2020
Kiungo wa Mtibwa Sugar, Salum Kihimbwa akiupitia mpira mguuni mwa beki Mganda wa Azam FC, Nicholas Wadada katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ta...
Thursday, January 30, 2020
REAL MADRID YAICHAPA ZARAGOZA 4-0 KOMBE LA MFALME HISPANIA
Thursday, January 30, 2020
Nyota wa Real Madrid, Mbrazil Vinicius Junior akiwatoka mabeki wa Real Zaragoza katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispani...
LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 WEST HAM NA KUUKARIBIA ZAIDI UBINGWA
Thursday, January 30, 2020
Roberto Firmino, Jordan Henderson, Mohamed Salah, na Georginio Wijnaldum wakishangilia baada ya Liverpool kupata bao la kwanza jana katik...
MAN UNITED PUNGUFU YAICHAPA MAN CITY 1-0, LAKINI YATOLEWA
Thursday, January 30, 2020
Refa Kevin Friend akimuonyesha Nemanja Matic wa Manchester United kadi nyekundu dakika ya 76 baada ya kumuonyesha kadi ya njano ya pili k...
SIMBA SC 3-2 NAMUNGO FC (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
Thursday, January 30, 2020
Wednesday, January 29, 2020
KAGERE APIGA BAO LA USHINDI BADO DAKIKA MBILI SIMBA SC YAWACHAPA NAMUNGO FC 3-2 TAIFA
Wednesday, January 29, 2020
Na Asha Said, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendelea kung’ara baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC kwenye mche...
MTHAILAND AWASILI DAR KUZIPIGA NA MTANGO IJUMAA MKWAKWANI
Wednesday, January 29, 2020
Bondia Suriya Tatakhun akiwa na kocha wake baada ya kuwasili leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwao, Thailand tayari kwa pambano kubwa la n...
MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA
Wednesday, January 29, 2020
Bao pekee la mshambuliaji Matheo Anthony Simon dakika ya 82 limetosha kuipa ushindi wa 1-0 Polisi Tanzania dhidi ya Tanzania Prisons kati...
MTENDAJI MKUU WA AZAM FC AFANYA ZIARA KLABU KADHAA NCHINI MISRI, AKUTANA HADI NA HIMID MAO
Wednesday, January 29, 2020
OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat', akiwa makao makuu ya miamba ya soka barani Afrika, Al Ahly. Popat amefa...
KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA MAFUNZO YA DIPLOMA C YA KOZI YA UKOCHA YA CAF
Wednesday, January 29, 2020
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba, kipa Juma Kaseja (kushoto) na beki Boniface Pawasa (kulia) ni miongoni mwa makocha 30 waliojitokeza ku...
UZINDUZI WA TAWI LA SIMBA SC BUNGENI MJINI DODOMA ULIVYOFANA MAPEMA LEO
Wednesday, January 29, 2020
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi la klabu hiyo Bungeni mjin...
MCHEZAJI KUPELEKWA KWA MKOPO NI UAMUZI WA BENCHI LA UFUNDI
Wednesday, January 29, 2020
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM DIRISHA dogo la usajili msimu huu limetuletea taswira ya kushangaza sana kwa wachezaji wetu na waajiri ...
SAMATTA ‘AWAKOSAKOSA’ LEICESTER CITY, ASTON VILLA YASHINDA 2-1 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND
Wednesday, January 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, BIRMINGHAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza kwa dakika 67 tu, timu yake mpya, ...
Tuesday, January 28, 2020
DK. MSOLLA AITISHA MKUTANO WA DHARURA WA WANACHAMA YANGA FEBRUARI 16 JKNICC
Tuesday, January 28, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga inatarajiwa kufanya mkutano wa dharula Februari 16, mwaka huu katika ukumbi wa Kituo cha M...
SIMBA SC YAKANA TUHUMA ZA KUTAKA KUMHONGA KIPA WA YANGA, RAMADHANI KAWBILI
Tuesday, January 28, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba SC imesema imeyapokea kwa masikitiko makubwa maelezo ya kipa wa Yanga SC, Ramadhani Awamu ...
THOMAS ULIMWENGU ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUREJEA KLABU YA TP MAZEMBE
Tuesday, January 28, 2020
Na Mwandshi Wetu, LUBUMBASHI MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga te...
MO DEWJI ALIPOMKABIDHI JEZI YA SIMBA SC RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO
Tuesday, January 28, 2020
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed 'Mo' Dewji (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Rais wa Shirikisho la Soka...
ARSENAL WAICHAPA BOURNEMOUTH 2-1 NA KUSONGA MBELE FA
Tuesday, January 28, 2020
Eddie Nketiah akishangilia na Bukayo Saka baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 26 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemo...
Monday, January 27, 2020
TFF YAIAGIZA KAMATI YAKE YA MAADILI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA KABWILI DHIDI YA SIMBA SC
Monday, January 27, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeiagiza Kamati yake ya Maadili kufuatilia ukweli kuhusu tuhuma za up...
AZAM FC YAICHAPA FRIENDS RANGERS 3-1 NA KUFUNGA MLANGO WA 16 BORA KOMBE LA TFF
Monday, January 27, 2020
Na Asha Said, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imefunga mlango wa kuingia hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maaruf...
MECHI MBILI HAZITOSHI, TUNAHITAJI KUMPA MUDA ZAIDI BEN MORRISON
Monday, January 27, 2020
Na Mustafa Mtupa, DAR ES SALAAM NIKIWA mmoja ya watu walio kusanyika kwenye moja ya shughuli ambayo binafsi nilialikwa. Nilipewa kazi ya k...
YANGA SC 2-0 TANZANIA PRISONS (KOMBE LA TFF)
Monday, January 27, 2020
NACHO APIGA BAO PEKEE REAL MADRID YAPANDA KILELENI LA LIGA
Monday, January 27, 2020
Beki wa Real Madrid, Nacho akipongezwa na Nahodha, Sergio Ramos (kulia) na kocha Zinedine Zidane (kushoto) baada ya kuifungia bao pekee t...
LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA SHREWSBURY KOMBE LA FA
Monday, January 27, 2020
Jason Cummings akishangilia baada ya kuifungia Shrewsbury Town mabao mawili dakika za 65 kwa penalti na 75 kuisaidia kupata sare ya 2-2 n...
KOBE BRYANT NA BINTI YAKE, WAFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA
Monday, January 27, 2020
NYOTA wa mpira wa vipaku nchini Marekani, Kobe Bryant na binti yake Gianna ni miongoni mwa watu tisa waliofariki katika ajali ya helkopta i...
Sunday, January 26, 2020
JESUS APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA FULHAM 4-0
Sunday, January 26, 2020
Gabriel Jesus akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 72 na 75 kufuatia Ilky Gundogan kufunga la kwanza...
MAN UNITED YAICHAPA TRANMERE ROVERS 6-0 NA KUSONGA MBELE FA
Sunday, January 26, 2020
Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza Diogo Dalot baada ya kufunga bao la pili dakika ya 13 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji,...
TYSON FURY NA WILDER WAENDELEA KUTAMBIANA KUELEKEA FEBRUARI 22
Sunday, January 26, 2020
Tyson Fury (kulia) na Deontay Wilder (kushoto) wakitambiana wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari jana kuelekea pambano lao la marudia...
Subscribe to:
Posts (Atom)