
Thursday, December 31, 2020

WABUNGE wa sasa na wa zamani wamejitokeza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Simba SC Februari 7, mwakani. Hao ni Mbunge wa zamani wa...
YANGA SC CHUPUCHUPU KUZAMA KWA PRISONS, WASAWAZISHA MWISHONI SARE 1-1 SUMBAWAGA
Thursday, December 31, 2020
VINARA, Yanga SC wameendeleza rekodi ya kupoteza mechi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu baada ya leo kulazimisha sare ya 1-1 na we...
REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA ELCHE KATIKA LA LIGA
Thursday, December 31, 2020
REAL Madrid imelazimishwa sare ya 1-1 na wenyeji, Elche katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Manuel Martinez Valero usiku wa jana. Luka Modric...
SIMBA SC 4-0 IHEFU SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Thursday, December 31, 2020
LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE TENA, 0-0 NA NEWCASTLE UNITED
Thursday, December 31, 2020
Liverpool imelazimishwa sare ya bila kufungana na Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St. James' Park. ...
Wednesday, December 30, 2020
KAGERE APIGA MBILI, TSHABALALA NA MUGALU MOJA KILA MMOJA SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 4-0 DAR
Wednesday, December 30, 2020
MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbila ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa Ihefu SC 4-0 jioni ya leo Uwanj...
BARCELONA WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA EIBAR LA LIGA
Wednesday, December 30, 2020
Ousmane Dembele akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 67 katika sare ya 1-1 na Eibar iliyotanguli...
MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 BAO PEKEE LA RASHFORD
Wednesday, December 30, 2020
Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 usik...
LACAZETTE AFUNGA BAO PEKEE ARSENAL YAILAZA BRGHTON 1-0 THE AMEX
Wednesday, December 30, 2020
Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 66, kiasi cha sekunde 21 baada ya kuingia kuchukua nafasi ya...
Tuesday, December 29, 2020
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA DEO LUCAS KATIKA SPORTS AM
Tuesday, December 29, 2020
METACHA MNATA ATEMWA, JUMA KASEJA AITWA PAMOJA NA AISHI MANULA NA DANIEL MGORE TAIFA STARS YA CHAN
Tuesday, December 29, 2020
KIPA namba wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata hajaorodheshwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoa...
WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA MAGWIJI WA SOKA NA KUAHIDI KUENDELEZA HESHIMA YA MICHEZO NCHINI
Tuesday, December 29, 2020
Na Shamimu Nyaki –WHUSM, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika uongozi wake at...
SIMON MSUVA AENDELEA KUNG'ARA WYDAD CASABLANCA, AFUNGA BAO BAO PEKEE YASHINDA 1-0 MOROCCO
Tuesday, December 29, 2020
HABARI njema zaidi ni kwamba – Simon Msuva si tu mchezaji pale Wydad bali ni ‘Supa Staa’ baada ya vitu alivyofanya muda mfupi tu wa kuwa na ...
Monday, December 28, 2020
TFF YASEMA SINGIDA UNITED INAWADAI SH MILIONI 1 TU ZAWADI YA USHINDI WA PILI KOMBE LA TFF 2019
Monday, December 28, 2020
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema klabu ya Lipuli FC ya Iringa inadai Sh Milioni 1 tu katika zawadi yake ya ushindi wa pili Kombe l...
SIMBA SC YAMSIMAMISHA JONAS MKUDE KWA MUDA USOJULIKANA KUTOKANA NA UTOVU WA NIDHAMU
Monday, December 28, 2020
KLABU ya Simba SC imemsimamisha kwa muda usiojulikana kiungo wake Jonas Mkude kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa iliyotolewa na mtendaji ...
SIMBA SC 5-0 MAJI MAJI (KOMBE LA TFF)
Monday, December 28, 2020
BEKI MKONGWE NCHINI KELVIN YONDAN ALIYEACHWA NA VIGOGO, YANGA SC ASAJILIWA NA POLISI TANZANIA
Monday, December 28, 2020
Na Clement Shari, ARUSHA KLABU ya soka ya Polisi Tanzania yenye maskani yake mjini Moshi mkoani Kilimanjaro imetangaza kumsajili beki wa zam...
LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROM ANFIELD
Monday, December 28, 2020
BAO la dakika ya 89 la la Sam Johnstone liliwasaidia wageni, West Bromwich Albion kupata sare ya 1-1na wenyeji na mabingwa watetezi, Liverpo...
Sunday, December 27, 2020
SIMBA SC YAIFUMUA MAJI MAJI YA SONGEA 5-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Sunday, December 27, 2020
MABINGWA watetezi, Simba SC wamesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup ...
MABONDIA WA TANZANIA WAADHIBU WAGENI KWA VIPIGO TOFAUTI DAR
Sunday, December 27, 2020
MABONDIA nyota wa Tanzania jana waliwashinda wapinzani wao kutoka nchi tofauti kwa staili mbalimbali katika ukumbi wa Next Door Arena – Abda...
MANCHESTER CITY WAITANDIKA NEWCASTLE UNITED 2-0 ETIHAD
Sunday, December 27, 2020
MABAO ya Ilkay Gundogan dakika ya 14 na Ferran Torres dakika ya 55 jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United kat...
ARSENAL WAZINDUKA ENGLAND NA KUITANDIKA CHELSEA 3-0 EMIRATES
Sunday, December 27, 2020
MABAO ya Alexandre Lacazette kwa penalti baada ya Reece James kuchezewa rafu na Kieran Tierney dakika ya 34, Granit Xhaka dakika ya 44 na Bu...
Saturday, December 26, 2020
YANGA SC WASHEREHEKEA KRISIMASI KWA KUWAFARIJI YATIMA NA WAGONJWA WA HOSPITALI YA MBOZI
Saturday, December 26, 2020
VIGOGO wa soka Tanzania, Yanga SC jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi walitoa zawadi katika kituo cha kulelea watoto yatima na hosp...
CHIRWA NA TIGERE WAFUNGA AZAM FC YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA 2-0 MAGEREZA CHAMAZI
Saturday, December 26, 2020
AZAM FC imesonga mbele Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushi...
MAN UNITED YATOA SARE 2-2 NA LEICESTER CITY KING POWER
Saturday, December 26, 2020
Manchester United imetoa sare ya 2-2 na wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power. Mabao ya Manc...
Friday, December 25, 2020
SIMBA SC WAREJEA DAR TAYARI KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDINO DHIDI YA FC PLATINUMS JANUARI 6
Friday, December 25, 2020
KIKOSI cha Simba SC kimerejea leo Dar es Salaam kutoka Zimbabwe ambako Jumatano walichapwa 1-0 na wenyeji, FC Platinums jana Uwanja wa Taifa...
MSHAMBULIAJI MZIMBABWE WA AZAM FC, PRINCE DUBE AANZA KUJIFUA CHINI YA KOCHA WA MAZOEZI YA VIUNGO
Friday, December 25, 2020
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo ameanza programu maalumu ya mazoezi ya kujiweka sawa, chini ya Kocha wa viungo wa klabu hiyo,...
AZAM
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
KOMBE LA MAPINDUZI
MTIBWA SUGAR
NAMUNGO FC
SIMBA
YANGA
ZANZIBAR
SIMBA SC WAPANGWA NA MTIBWA, CHIPUKIZI KUNDI B, YANGA NA NAMUNGO NA JAMHURI KOMBE LA MAPINDUZI 2021
Friday, December 25, 2020
MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC ya Dar es Salaam wamepangwa Kundi B katika Kombe la Mapinduzi pamoja na mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar ...
AZAM
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
KOMBE LA MAPINDUZI
MTIBWA SUGAR
NAMUNGO FC
SIMBA
YANGA
ZANZIBAR
Thursday, December 24, 2020
YANGA SC YAPITA BILA JASHO RAUNDI YA TATU ASFC BAADA YA SINGIDA UNITED KUSHUSHWA MADARAJA
Thursday, December 24, 2020
ADHABU ya Singida United inamaanisha kwamba, vigogo wenzao, Yanga SC wapita bila jashio Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzan...
ULIMWENGU APIGA MBILI TP MAZEMBE YAICHAPA BOUENGUIDI FC 2-1 KWAO LIGI YA MABINGWA
Thursday, December 24, 2020
MSHAMBUILIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu jana amefunga mabao mawili kuiwezesha TP Mazembe kupata ushindi wa ugenini wa 2-1 d...
AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA HATARI, MPIANA MONZINZI KUTOKA FC LUPOPO YA KONGO
Thursday, December 24, 2020
MSHAMBULIAJi mpya wa Azam FC, Mpiana Monzinzi, jana alianza mazoezi muda mfupi baada kusaini mkataba wa mwaka mmoja kutoka St. Eloi Lupopo L...
MAN UNITED KUMENYANA NA MAN CITY NUSU FAINALI CARABAO CUP
Thursday, December 24, 2020
MANCHESTER United ilitumia dakika mbili za mwsho kujikatia tiketi ya Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup kwa mab...
IHEFU SC 0-3 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Thursday, December 24, 2020
Wednesday, December 23, 2020
MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIANA NA TFF KUENDELEZA MICHEZO
Wednesday, December 23, 2020
Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameliagiza Shirikisho la Soka Tanz...
NAMUNGO FC WANG'ARA AFRIKA, WAICHAPA AL HILAL OBAYED YA SUDAN 2-0 CHAMAZI KOMBE LA SHIRIKISHO
Wednesday, December 23, 2020
MABAO ya Sixtus Sabilo dakika ya 14 na Stephen Sey dakika ya 31 yameipa Namungo FC ushindi wa 2-0 dhidi ya Al Hilal Obayed ya Sudan jioni ya...
SIMBA SC YATELEZA ZIMBABWE, YACHAPWA 1-0 NA FC PLATINUMS HARARE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Wednesday, December 23, 2020
BAO pekee la Perfect Chikwende dakika ya 17 limaipa ushindi wa 1-0 FC Platinums dhidi ya Simba SC ya Tanzania katika mchezo wa kwanza Hatua ...
Subscribe to:
Posts (Atom)