Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandsi Hersi Said (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kiungo Mnyarwanda Haruna Niyonzima baada ya kusaini mkataba wa kujiunga tena na timu hiyo leo mjini Kigali, Rwanda
Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandsi Hersi Said (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Ditram Nchimbi baada ya kusaini mkataba wa kujiunga tena na timu hiyo jana mjini Kampala, Uganda

0 comments:
Post a Comment