Willian akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 12 akimalizia pasi ya Mateo Kovac na ya 45 na ushei kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur inayofundishwa na kocha wao wa zamani, Jose Mourinho kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment