Simba Queens imeedeleza ubabe kwa Yanga Princess baada ya ushindi wa 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Mwanahamisi Omar dakika ya 13 na Neema Kilinga mawili dakika ya 35 na 86, wakati la Yanga Princess limefungwa na Shelda Boniface dakika ya 25
Man Utd to take part in Women's World Sevens
-
Manchester United will be one of the eight clubs competing in the inaugural
Women's World Sevens tournament in May.
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment