Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 38 na 90 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Liverpool inafikisha pointi 49 baada ya ushindi huo na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 10 zaidi ya Leicester City wanaofuatia katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Stanbic Uganda Cup semi-final fixtures confirmed, final to be held at
Kadiba stadium
-
The semi-final draw for the 51st Stanbic Uganda Cup was conducted on
Monday, 28th April 2025, at the Kampala Serena Hotel, confirming exciting
matchups a...
3 minutes ago
0 comments:
Post a Comment