Cristiano Ronaldo akiwa juu umbali wa mita 2.56 kuifungia bao la ushindi Juventus kwa kichwa dakika ya 45 ikiwalaza wenyeji, Sampdoria 2-1 katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Comunale Luigi Ferraris mjini Genova. Juventus ilitangulia kwa bao la Paulo Dybala dakika ya 19, kabla ya Gianluca Caprari kuisawazishia Sampdoria dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sixty years since United won the 1964/65 title
-
The Reds effectively sealed the league during a dramatic day of Division
One football.
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment