• HABARI MPYA

        Thursday, December 19, 2019

        RASHFORD, MARTIAL WAIPELEKA MAN UNITED NUSU FAINALI CARABAO

        Marcus Rashford akishangilia na mchezaji mwenzake, Anthony Martial baada ya wote kuifungia Manchester United katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Colchester United kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao. Rashford alifunga dakika ya 51 na Martial dakika ya 61, wakati bao lingine Ryan Jackson wa Colchester United alijifunga dakika ya 56 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: RASHFORD, MARTIAL WAIPELEKA MAN UNITED NUSU FAINALI CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry