Marcus Rashford akishangila baada ya kuifungia bao la pili Manchester United kwa penalti dakika ya 49 baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Moussa Sissoko katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Rashford pia ndiye aliyefunga bao la kwanza la Man United kabla ya Dele Alli kuisawazishia Spurs dakika ya 39 kocha Mreno, Jose Mourinho mechi ya kwanza dhidi ya timu yake ya zamani akwa na Tottenham PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wasteful England beaten in Women's Ashes opener
-
England suffer a four-wicket defeat in the opening one-day international of
the Women's Ashes in Sydney.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment