Divock Origi akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya sita na 31 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Everton usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Sadio Mane dakika ya 45 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 wakati ya Everton yalifungwa na Michael Keane dakika ya 21 na Richarlison dakika ya 45 na ushei katika mpambano huo wa mahasimu wa Merseyside PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trent Alexander-Arnold hit all the right notes with a trademark display but
why Liverpool fans have every right to be irked by his off-field stance
-
AADAM PATEL AT ANFIELD: Almost a fortnight has passed since Liverpool
'emphatically rebuffed' an approach from Real Madrid to buy the 26-year-old
yet still...
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment