Mshambuliaji Lionel Messi akionyesha tuzo yake mpya ya Ballon d'Or kabla ya mechi ya La Liga na Mallorca Uwanja wa Nou Camp jana ambayo Barcelona ilishinda 5-2 huku yeye akipiga hat-trick na kumpiku Cristiano Ronaldo kwa kufunga hat trick nyingi kwenye La Liga (35-34). Messi alifunga mabao yake dakika za 17, 41 na 83, wakati mengine yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya saba na Luis Suarez dakika ya 43, huku ya Mallorca yakifungwa na Ante Budimir dakika ya 35 na 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wasteful England beaten in Women's Ashes opener
-
England suffer a four-wicket defeat in the opening one-day international of
the Women's Ashes in Sydney.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment