// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
KOCHA MPYA SIMBA ALIVYOINOA SIMBA SC MARA YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA AFC KESHO UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEKOCHA MPYA SIMBA ALIVYOINOA SIMBA SC MARA YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA AFC KESHO UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
KOCHA MPYA SIMBA ALIVYOINOA SIMBA SC MARA YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA AFC KESHO UHURU
Kocha mpya wa Simba SC, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck (kushoto) akimpa maelekezo kiungo Mbrazil wa timu hiyo, Gerson Fraga 'Viera' kwenye mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji kuelekea mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya AFC ya Arusha kesho Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Kiungo Mzambia, Clatous Chama akikokota mpira Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji
Beki Mbrazl, Tairone Santos da Silva (kushoto) akimiliki mpira pembeni ya kiungo Mkenya, Francis Kahata leo Uwanja wa Mo Simba Arena
Beki mkongwe, Erasto Nyoni akitoa pasi kwa wenzake mazoezini leo Uwanja wa Mo Simba Arena
Beki Shomari Kapombe akinyoosha viungo mazoezini leo Uwanja wa Mo Simba Arena
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment