• HABARI MPYA

        Friday, December 20, 2019

        KIGOGO WA SIMBA SC ANAVYORINGISHIA KADI YAKE YA MSHABIKI AMBAZO ZINAPATIKANA BANDA LA EQUITY SABASABA

        Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Crescentius John Magori akiwa na kadi yake ya mashabiki baada ya kukatiwa. Simba imewataka wanachama na mashabiki wake kukata kadi hiyo viwanja vya SabaSaba kwenye banda la benki ya Equity 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIGOGO WA SIMBA SC ANAVYORINGISHIA KADI YAKE YA MSHABIKI AMBAZO ZINAPATIKANA BANDA LA EQUITY SABASABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry