Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Manchester City dakika ya 69 hilo likiwa bao lake la kwanza kufunga nyumbani tangu Januari, timu hiyo ikitoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya Leicester City leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya 30 na Ilkay Gundogan kwa penalti dakika ya 43 kufuatia Jamie Vardy kuitanguliza Leicester kwa bao la dakika ya 22 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
New York Giants rookie Abdul Carter reacts to rejection from NFL legend and
team icon Lawrence Taylor
-
Abdul Carter shot his shot with New York Giants legend Lawrence Taylor. But
that request may have been a bit too much to ask, even for the
third-overall pi...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment