Nahodha Msaidizi wa Azam FC, Frank Domayo 'Chumvi' akisaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022
Frank Domayo 'Chumvi' akionyesha dole gumba lake baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Azam.
Frank Domayo akisaini mkataba huo mpya mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat'

Frank Domayo akisaini mkataba huo mpya mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat'
0 comments:
Post a Comment