• HABARI MPYA

        Sunday, December 29, 2019

        CHIRWA AING'ARISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 POLISI TANZANIA LEO MOSHI, NAMUNGO NAYO YAIPIGA JKT

        Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya tisa ikiwalaza wenyeji, Polisi Tanzania 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, Namungo FC wameshinda 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania bao pekee la Bgirimana Blaise dakika ya 90 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CHIRWA AING'ARISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 POLISI TANZANIA LEO MOSHI, NAMUNGO NAYO YAIPIGA JKT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry