BARCELONA YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA SOCIEDAD LA LIGA
Walinzi wa Barcelona wakielekea katikati kinyonge baada ya Alexander Isak kuisawazishia Real Sociedad dakika ya 62 katika sare ya 2-2 leo Uwanja wa Reale Arena mjini Donostia-San Sebastian. Bao la kwanza la Real Sociedad limefungwa na Mikel Oyarzabal kwa penalti dakika ya 12, wakati ya Barca yamefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 38 na Luis Suarez dakika ya 49PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Restructuring of FAMACO
-
The Federation of Uganda Football Associations (FUFA) is committed to
professionalising and advancing football administration and management in
Uganda. I...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment