Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 29 kwa penalti na 57 ikitoa sare ya 2-2 na Norwich City leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Carrow Road. Mabao ya Norwich City Teemu Pukki dakika ya 21 na Todd Cantwell dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Transgender women banned from female pool category
-
The Ultimate Pool Group (UPG) ban transgender women from female category
after landmark UK Supreme Court ruling that the legal definition of a woman
is bas...
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment