• HABARI MPYA

        Tuesday, December 24, 2019

        ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA

        Winga Athanas Mdamu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na timu hiyo akitokea Alliance FC ya Mwanza. Mdamu pia amewahi kucheza kwa nyakati tofauti katika klabu ya Singida United na Kariobang Sharks ya Kenya
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry