// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 12/01/2019 - 01/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 12/01/2019 - 01/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, December 30, 2019
    YANGA SC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA SC LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0

    YANGA SC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA SC LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imepanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0...
    MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY COAST ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

    MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY COAST ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

    Mshambuliaji wa zamani wa Gor Mahia ya Kenya Muivory Coast, Yikpe Gilslain Gnamien akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC ...
    Sunday, December 29, 2019
    NCHIMBI ANA HAMU NA KAZI, LAKINI YANGA ISHAWEKA MAMBO SAWA ACHEZE KESHO DHIDI YA BIASHARA?

    NCHIMBI ANA HAMU NA KAZI, LAKINI YANGA ISHAWEKA MAMBO SAWA ACHEZE KESHO DHIDI YA BIASHARA?

    Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Ditram Nchimbi akiwa hoi baada ya mazoezi magumu gym mjini Dar es Salaam jana. Bado haifahamiki kama Ditra...
    CHIRWA AING'ARISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 POLISI TANZANIA LEO MOSHI, NAMUNGO NAYO YAIPIGA JKT

    CHIRWA AING'ARISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 POLISI TANZANIA LEO MOSHI, NAMUNGO NAYO YAIPIGA JKT

    Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya tisa ikiwalaza wenyeji, Polis...
    Saturday, December 28, 2019
    Friday, December 27, 2019
    YANGA SC YASOGEA ‘ANGA ZAKE’ LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SAMORA

    YANGA SC YASOGEA ‘ANGA ZAKE’ LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SAMORA

    Na Mwandishi Wetu, IRINGA YANGA SC imepanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ...
    MSENGI WA KMC ASAINI MIAKA MITATU KUJIUNGA NA STELLENBOSCH YA LIGI KUU AFRIKA KUSINI

    MSENGI WA KMC ASAINI MIAKA MITATU KUJIUNGA NA STELLENBOSCH YA LIGI KUU AFRIKA KUSINI

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika...
    Thursday, December 26, 2019
    COASTAL UNION YAINYAMAZISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 MKWAKWANI BAO PEKEE LA HAJI UGANDO

    COASTAL UNION YAINYAMAZISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 MKWAKWANI BAO PEKEE LA HAJI UGANDO

    Beki na Nahodha wa Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) akimdhibiti mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa katika mchezo ...
    MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA KESHO

    MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA KESHO

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tanzania Prisons na Yanga SC ya Dar es Salaam uliok...
    MAREFA WA BURUNDI KUICHEZESHA TANZANIA DHIDI YA UGANDA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20

    MAREFA WA BURUNDI KUICHEZESHA TANZANIA DHIDI YA UGANDA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa kufuzu Kombe la Dunia Uganda dhidi ya Tanzania Wanawake U20 utachezeshwa na Waamuzi kutoka Buru...
    Wednesday, December 25, 2019
    SIMBA SC YAENDELEZA ‘UMWAMBA’ LIGI KUU YA TANZANIA BARA, YAITANDIKA LIPULI FC 4-0 UHURU

    SIMBA SC YAENDELEZA ‘UMWAMBA’ LIGI KUU YA TANZANIA BARA, YAITANDIKA LIPULI FC 4-0 UHURU

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza ‘dozi’ baada ya leo kuwachapa Lipuli FC ya Iringa 4-0 katika mch...
    Tuesday, December 24, 2019
    NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA KESHO ANAKWENDA KUUNGA NA KIKOSI CHA YANGA MBEYA KUANZA KAZI RASMI

    NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA KESHO ANAKWENDA KUUNGA NA KIKOSI CHA YANGA MBEYA KUANZA KAZI RASMI

    Katibu Mkuu Dk. David Ruhago leo akimkaribisha mchezaji Ditram Nchimbi kwenye makao Makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam leo, ta...
    ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA

    ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA

    Winga Athanas Mdamu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na timu hiyo akitoke...
    'SIMBA ONE' AISHI MANULA ALIVYO 'FITI' KUELEKEA MCHEZO WA KESHO WA LIGI KUU NA LIPULI FC

    'SIMBA ONE' AISHI MANULA ALIVYO 'FITI' KUELEKEA MCHEZO WA KESHO WA LIGI KUU NA LIPULI FC

    Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula akipangua mpira mazoezini leo Viwanja vya Mo Simba Arena, Bunju mjini Dar es Salaam kujiandaa n...
    YANGA SC YATOA SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU, YATOKA 0-0 NA MBEYA CITY LEO SOKOINE

    YANGA SC YATOA SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU, YATOKA 0-0 NA MBEYA CITY LEO SOKOINE

    Na Mwandishi Wetu, MBEYA YANGA SC imetoa sare ya pili mfululizo leo katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kumaliza mchezo bila kufunga...
    Monday, December 23, 2019
    AZAM FC YAITOA KWA MATUTA AFRICAN LYON NA KUTINGA HATUA YA 32 BORA MICHUANO YA ASFC

    AZAM FC YAITOA KWA MATUTA AFRICAN LYON NA KUTINGA HATUA YA 32 BORA MICHUANO YA ASFC

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Azam FC wamekamilisha Hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maa...
    SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATANDIKWA 2-0 LIGI YA UBELGUJI

    SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATANDIKWA 2-0 LIGI YA UBELGUJI

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametokea benchi nusu saa ya mwisho, timu ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top