Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao matatu dakika za 19, 47 na 60 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Ireland Kaskazini kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt am Main. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Leon Goretzka dakikaya 43 na 73 na Julian Brandt dakika ya 90 na ushei, wakati la Ireland Kaskazini lilifungwa na Michael Smith dakika ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
8 minutes ago
0 comments:
Post a Comment