Gerard Moreno akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Hispania dakika za 33 na 43 ikiilaza 5-0 Romania kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Estadio Wanda Metropolitano mjini Madrid. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Fabian Ruiz dakika ya nane, Adrian Rus aliyejifunga dakika ya 45 na Mikel Oyarzabal dakika ya 90 na ushei na sasa wanafikisha pointi 26 katika mchezo wa 10 wakiendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi tano zaidi ya Sweden wanaofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Performance of a lifetime!' GB's Atkin wins halfpipe gold
-
Watch as Great Britain's Zoe Atkin pulls of an incredible second run to win
gold in the freeski halfpipe final at the Freestyle Ski and Snowboard World
Cha...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment