Lionel Messi akiifungia Argentina bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika sare ya 2-2 na Uruguay baada ya beki Jose Martin Caceres kuunawa mpira kwenye boksi usiku wa jana katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Bloomfield mjini Tel-Aviv. Uruguay ilitangulia kwa bao la Edinson Cavani dakika ya 34 kabla ya Sergio Aguero kuisawazishia Argentina dakika ya 63 na Luis Suarez kufunga la pili dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment