Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Argentina bao pekee dakika ya 13 akimalizia mpira uliookolewa na kipa Allison, baada ya yeye mwenyewe kupiga penalti akitoka kuangushwa na beki Alex Sandro katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brazil usiku wa jana Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mfalme Saud mjini Riyadh. Brazil pia walikosa penalti ndani ya dakika 10 za mwanzo baada ya Gabriel Jesus kupiga juu ya lango katika mchezo ambao Messi alikuwa anaichezea Argentina kwa mara ya kwanza tangu dhidi ya Chile Julai PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mayer retains title with points win over Briton Ryan
-
World champion Mikaela Mayer outpoints Briton Sandy Ryan for the second
time to defend her WBO welterweight title in Las Vegas.
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment