Mualgeria Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 37 ikiilaza Chelsea 2-1 leo Uwanja wa Etihad. N'Golo Kante alianza kuifungia Chelsea dakika ya 21, kabla ya Kevin De Bruyne kuisawazishia Man City dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: United Women 2 Everton 0
-
Marc Skinner's Reds go into the April international break with a win that
takes us closer to European qualification.
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment