Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao la pili kwa penalti dakika ya 79 ikiilaza Moldova 2-1 katika mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Kiungo Vadim Rata alianza kuifungia Moldova dakika ya tisa kabla ya Raphael Varane kuisawazishia Ufaransa dakika ya 39 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 22 wakiendelea kuongoza Kundi H wakifuatiwa na Uturuki yenye pointi 20 baada ya wote kucheza mechi tisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment