Karim Benzema akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 17 na 29 kwa penalti katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Sergio Ramos dakika ya 20 kwa penalti na Federico Valverde dakika ya 61 na kwa ushindi huo kikosi cha kocha Zinadine Zidane kinapanda kileleni katika La Liga, kikifikisha pointi 25, tatu zaidi ya mabingwa watetezi, Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man City warned to up their game in race for surprise £25m transfer target
- and face competition from two rivals for international starlet managed by
Cristiano Ronaldo's old agent Jorge Mendes
-
Mail Sport reported last week that City are weighing up a move for the
20-year-old international star.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment