Bruno Duarte akibinuka 'kibaiskeli' kuifungia Vitoria bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei ikitoa sare ya 1-1 na Arsenal kufuatia Shkodran Mustafi kuanza kuwafungia The Gunners dakika ya 80 katika mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Dom Afonso Henriques mjini Guimaraes PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amorim's team news update
-
The boss hopes a key performer will be fit in time to face the Gunners.
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment