Saturday, November 30, 2019
REAL MADRID WAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUICHAPA ALAVES 2-1
Saturday, November 30, 2019
Real Madrid leo wamerejea kileleni mwa La Liga baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Deportivo Alaves Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gas...
MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA NEWCASTLE UNITED
Saturday, November 30, 2019
Jonjo Shelvey akipiga shuti kuifungia bao la kusawazisha Newcastle United dakika ya 88 katika sare ya 2-2 na Manchester City kwenye mchez...
CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE DARAJANI
Saturday, November 30, 2019
Aaron Creswell akishangilia na mchezaji mwenzake, Robert Snodgrass baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 katika ushin...
DELE ALLI APIGA MBILI TOTTENHAM YAILAZA 3-2 BOURNEMOUTH
Saturday, November 30, 2019
Dele Alli akipongezwa na Heung-Min Son baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 21 na 50 katika ushindi wa 3-2 dhidi y...
VAN DIJK APIGA MBILI LIVERPOOL PUNGUFU YAICHAPA BRIGHTON 2-1
Saturday, November 30, 2019
Beki Virgil van Dijk akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 18 na 24 mara zote akiimalizia kazi nzuri za Trent ...
SIMBA SC YAACHANA NA AUSSEMS, KITAMBI APEWA TIMU HADI ATAKAPOPATIKANA KOCHA MPYA
Saturday, November 30, 2019
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na kocha wake, Patrick Winand J. Aussems baada ya beki huyo ...
KOCHA JUMA MWAMBUSI ABWAGA MANYANGA MBEYA CITY, MOHAMED KIJUSO APEWA MIKOBA
Saturday, November 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Mbeya City Juma Mwambusi (pichani) amejiuzulu kuifundisha timu hiyo kutokana na mwenendo usiorid...
MWAKINYO AMSHINDA MFILIPINO KWA POINTI, KIDUKU ASHINDA TKO
Saturday, November 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea taji lake la UBO International uzito wa Super Welte...
ALLIANCE FC 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Saturday, November 30, 2019
Friday, November 29, 2019
YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA ALLIANCE 2-1 CCM KIRUMBA
Friday, November 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, MWANZA KIKOSI cha Yanga kimeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Alli...
MANULA ATEULIWA KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS PAMOJA NA KASEJA KWA AJILI YA CHALLENGE
Friday, November 29, 2019
Na Asha Said, DAR ES SALAAM KIPA namba moja wa timu ya Simba, Aishi Manula amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, baada ya jana kuta...
MAN UNITED NAO WALICHEZEA 2-1 KWA ASTANA EUROPA LEAGUE
Friday, November 29, 2019
Wachezaji wa Astana wakishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester United usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League Uwa...
FRANKFURT YAWAPIGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATEs
Friday, November 29, 2019
KIUNGO Mjapan, Daich Kamada (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Eintracht Frankfurt mabao mawili dakika za 5...
Thursday, November 28, 2019
LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA
Thursday, November 28, 2019
Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 81 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, S...
DEJAN LOVREN AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA ANFIELD NA NAPOLI, 1-1
Thursday, November 28, 2019
Dejan Lovren akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Liverpool dakika ya 65 ikitoa sare ya 1-1 na Napoli iliyotanguli...
CHELSEA YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA VALENCIA MESTALLA
Thursday, November 28, 2019
Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza mwenzao Christian Pulisic baada ya kufunga bao la pili dakika ya 50 kufuatia Mateo Kovacic kufunga kufu...
MESSI, SUAREZ WAFUNGA BARCELONA YAICHAPA DORTMUND 3-1
Thursday, November 28, 2019
Lionel Messi (kushoto) akishangilia na wenzake, Antoine Griezmann na Luis Suarez baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 wa Barcelona...
SAMATTA AFUNGA BAO LA TATU LIGI YA MABINGWA ULAYA GENK IKICHAPWA 4-1 NYUMBANI SALZBURG
Thursday, November 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amefunga bao lake la tatu katika Ligi ya ...
Wednesday, November 27, 2019
ZLATAN AJIUNGA NA TIMU YA KWAO SWEDEN BAADA YA KUTEMWA LA GALAXY
Wednesday, November 27, 2019
Zlatan Ibrahimovic akiwa ameshika jezi ya Hammarby ya kwao, Sweden baada ya kujiunga nayo kama mmoja wa wamiliki kufuatia kuachwa na LA G...
DYBALA APIGA BAO PEKEE JUVENTUS YAICHAPA ATLETICO MADRID 1-0
Wednesday, November 27, 2019
Paulo Dybala akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao pekee la ushindi dakika ya 45 na ushei ikiilaza 1-0 Atletico Madrid katika mche...
BENZEMA APIGA MBILI PSG WACHOMOA ZOTE SARE 2-2 REAL NA PSG
Wednesday, November 27, 2019
Mshambuliaji Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid striker dakika za 17 na 79 katika sare ya 2-2 na Pari...
MAN CITY YAFUZU HATUA YA MTOANO LICHA YA KUTOA SARE 1-1 ETIHAD
Wednesday, November 27, 2019
Kiungo lkay Gundogan akiifungia bao la kuongoza Manchester City dakika ya 56 katika sare ya 1-1 na Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kund...
TOTTENHAM YATOKA NYUMA NA KUICHAPA OLYMPIAKOS 4-2
Wednesday, November 27, 2019
Jose Mourinho akipiga ngumi hewani kushangilia ushindi wa 4-2 wa Tottenham Hotspur dhidi ya Olympiacos ya Ugiriki katika mchezo wa Kundi ...
LEWANDOWSKI APIGA NNE BAYERN MUNICH YASHINDA 6-0 UGENINI
Wednesday, November 27, 2019
Mshambuliaji Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao manne dakika za 53 kwa penalti, 60, 64, 67 katika ush...
Tuesday, November 26, 2019
AZAM FC YATOA ONYO LIGI KUU, YAWACHAPA ALLIANCE 5-0 CHIRWA APIGA HAT TRICK NYAMAGANA
Tuesday, November 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, MWANZA TIMU ya Azam FC leo imetoa onyo kwa wapinzani kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwac...
TANZANIA BARA 0-2 KENYA (CECAFA CHALLENGE WANAWAKE))
Tuesday, November 26, 2019
Monday, November 25, 2019
BILIONEA WA SIMBA SC, MO DEWJI AKUTANA NA GWIJI WA FILAMU INDIA, SUNJAY DUTT
Monday, November 25, 2019
Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji kulia akiwa mwigizjai nguli wa India, Sanjay Balraj Dutt (kushoto) baada ya ku...
YANGA SC YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO MWENYEKITI YULE YULE GUMBO
Monday, November 25, 2019
Na Saada Akida, DAR ES SALAAM MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Rodgers Gumbo amerejeshewa madaraka ya Uenyekiti wa Kamati Mashind...
KENYA WATWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE BAADA YA KUIPIGA TANZANIA BARA 2-0 CHAMAZI
Monday, November 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KENYA imefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake, CECAFA Challenge baad...
PRISONS YAICHAPA SINGIDA UNITED 1-0, NDANDA WAFA TENA NYUMBANI, NAMUNGO YAZINDUKA
Monday, November 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA Prisons imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AMAAN RASHID, MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA
Monday, November 25, 2019
Sunday, November 24, 2019
SHEFFIELD YAICHOMOLEA MAN UNITED DAKIKA YA MWISHO, SARE 3-3
Sunday, November 24, 2019
Oli McBurnie akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Sheffield United bao la kusawazisha dakika ya 90 katika sare ya 3-3 na Manchester U...
SAMATTA AINGIA ’30 BORA’ TUZO YA MWANASOKA BORA, WAMO PIA SALAH, MANE NA MAHREZ
Sunday, November 24, 2019
Na Mwandishi Wetu, CAIRO NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amejumuishwa kwenye orodha ya awali ya wachezaji 30 kuwania tuzo ya Mwan...
Subscribe to:
Posts (Atom)