Wachezaji wa Yanga SC wakiwasili mjini Mwanza leo asubuhi kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC ya Misri Oktoba 27 Uwanja wa CCM Kirumba
Kocha Mwinyi Zahera akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa mjini Mwanza leo baada ya kuwasili
Kipa Ramadhani Kabwili akiburuza begi lake baada ya kuwasili Mwanza ambako Jumanne watakuwa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Mbao FC kabla ya kuwavaa Pyramids


0 comments:
Post a Comment