Manahodha Erasto Edward Nyoni wa Tanzania (wa pili kulia) na Haruna Hakizimana Niyonzima wa Rwanda (wa pili kushoto) kabla ya mechi baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana usiku wa leo Uwanja wa Amahoro mjini Kigali
Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza leo dhidi ya Amavubi mjini Kigali

0 comments:
Post a Comment