• HABARI MPYA

        Thursday, October 03, 2019

        SUAREZ APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA INTER 2-1 CAMP NOU

        Nahodha Lionel Messi akimpongeza mshambuliaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kuifungia mabao yote mawili Barcelona dakika za 58 na 84 ikiilaza Inger Milan 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Katika mchezo huo wa Kundi F, bao la Inter Milan lilifungwa na Lautaro Martínez dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SUAREZ APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA INTER 2-1 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry