// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA ATALANTA 5-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESTERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA ATALANTA 5-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
STERLING APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA ATALANTA 5-1
Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu ndani ya dakika ya 11 kuanzia dakika ya 58, 64 na 69 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Manchester City yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 34 na 38 la penalti kufuatia Atalanta kutangulia kwa bao la penalti pia lililofungwa na Ruslan Malinovskiy PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment