Kiungo wa Simba SC, Deo Kanda anayecheza kwa mkopo kutoka TP Mazembe ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Aigle Noir ya Burundi katika mchezo wa kirafiki uliomalizika kwa sare ya 0-0 jioni ya leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Kiungo Msudan wa Simba, Sharaf Shiboub akijaribu kumlamba chenga beki wa Aigle Noir leo Kigoma

0 comments:
Post a Comment